8/06/2020

Millard Ayo Atoa ya Moyoni Kuhusu Lady Jay Dee "Kwa Sasa Nina Furaha Sana"

“Ujue mimi ni muumini mzuri sana wa amani, sipendi bifu za wasanii na media wala sikuwa nafurahia nyimbo za dada yetu kutopigwa Clouds, lakini haya ni mambo ya wakubwa zetu na mimi ni mtu mdogo sana, kwa hiyo nisingeweza kufanya chochote, kwa sasa nina amani na furaha tele kwa dada mkuu Jide kurejea tena kufanya kazi na CMG, ndiyo maana nimefanya naye interview tena kwa furaha sana'' - Millard Ayo ameiambia Global TV
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger