.

9/02/2021

Ni Sawa Kutumia Mswaki Mmoja na Mpenzi Wako?

Ni Sawa Kutumia Mswaki Mmoja na Mpenzi Wako?
Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala.

Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu.

Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi huwa wanaaminiana kupita kiasi hata kama hawakuwahi kuchunguza afya zao.

Hali hii hupelekea wapenzi kuchangia vitu mbali mbali kama nyembe, mswaki,mkasi hata wengine hufikia hatua ya kuchangia pichuu! "ukivaa BOXER yangu na vaa KIBINI yako"

Hapa leo nitahitaji tuongelea kitu kimoja.

Mswaki,hivi ni sahihi wapenzi kuchangia mswaki?

Na kiafya iko vipi, hakuna magojwa yoyote yanayoweka kutokea kwa kuchangia mswaki?

Au matumaini yetu yako juu ya zile dawa za meno tupe Mtazamo wako.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

2 comments:

  1. Siyo sahihi kuchangia mswaki wakati miswaki imejaa tele na siyo sahihi kuchangia nyembe, chupi, boxer hivyo ni vifaa kila mtu anatakiwa awe na vifaa vyake, kama wapenzi wanapenda kushilikiana nyembe ni vema kuviweka vifaa hivyo kwenye maji yanayochemka ili kuua bacteria wa magonjwa.

    ReplyDelete
  2. Sio sahihi kabisa kuchangia vitu vyenye ncha kali,hususani sana kwa kipindi hiki ambapo maradhi n mengi

    ReplyDelete

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger