‘Ni Uchungu Sana,’Corazon Kwamboka Azungumza Baada ya Kujifungua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wengi huwa wamengoja safari hii kwa muda wa miezi tisa, huku wakitarajia mazuri, kocha Frankie Kiarie na mpenzi wake Corazon Kwamboka walimkaribisha kifungua mimba wao Taiyari Kiarie, Jumatatu,3, Agosti.

Frankie sasa ni baba wa watoto wanne, kupitia channel yake ya youtube alifichua hayo huku akiposti picha za mtoto wao.


Huku Corazon akizungumzia akiwa kwenye kitanda ya hospitali alikuwa na haya ya kusema,

“Nilipomshika mwanangu nilimuona kwa muda mchache, tangu wakati huo sijaweza kulala kwa maana napaswa kulala nikiangalia juu, ilhaali makalio yangu ni kubwa kwa hivyo ni ule uvimbe ni uchungu sana.” Alizungumza Corazon. 

Wawili hao walitoka hospitalini siku tatu baada ya Corazon kujifungua, huku Frankie akiwa amejawa na furaha kwa maana mpenzi wake hakusaidiwa kutoka hospitali akiwa ameshikililiwa bali alikuwa anatembea kawaida.

“Ni mwanamke bomba,tayari anatembea.” Aliongea Frankie.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad