8/21/2020

Sababu za Mwana Fa kupitishwa na CCM kugombea Ubunge Muheza (+video)Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kimempitisha msanii Hamis Mwinjuma ‘Mwana Fa’ kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Muheza Mkoani Tanga katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa siku ya Oktoba 28,2020‬.

“Mwanamuziki huyu wa kizazi kipya ni msomi kwelikweli, tumeona timu yetu ichanganye watu ili wasipate pa kutokea, na kama unavyofahamu chama chetu kina mahusiano mazuri sana na wasanii kwa hiyo Mwana Fa anashika bendera ya CCM katika Uchaguzi huu kwenye Jimbo la Muheza” Polepole
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger