8/27/2020

Steve Nyerere amtahadharisha Carlinhos kuhusu WemaKupitia ukurasa wa Instgram wa staa wa filamu Wema Sepetu amempost na kumpa ujumbe mzito mchezaji mpya wa timu Yanga Carlinhos Carmo10 kwa kumwambia wanachokitaka ni ubingwa tu, kisha ndiyo wataanza kuongea lugha moja.

Wema Sepetu ambaye ni shabiki mkubwa wa timu ya Yanga amempa ujumbe huo mchezaji huyo ambaye amepokelewa kwa maelfu ya watu ya watu siku ya jana wakati anawasili kwenye Uwanja wa Taifa wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

"Tunachotaka sisi mpate ubingwa tena mara saba alafu ndo tuanze kuongea lugha moja, na zitabaki saba hivyo hivyo maana ubingwa ni wetu round hii karibu sana, halafu nasikia harufu ya mechi mechi hivi karibuni au ni mimi tu, nataka tupate mechi moja bwana, au unasemaje Engineer Makini" ameandika Wema Sepetu

Baada ya kuandika hivyo muigizaji Steve Nyerere naye aka-comment kwa kuandika "Umeanza, huyo kijana anajua mpira tu, nakujua unaanzaga hivi hivi kujifanya mlezi wa wana hahahahahahahahah tutakupiga wallah uchelewi mchwitiiiiiiii huyu"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger