8/15/2020

Tanzia: Mtangazaji Wasafi TV ‘Kungwi’ Afariki DuniaMTANGAZAJI wa Wasafi TV, Fatma Abdallah maarufu kwa jina la Kungwi Mkata Shombo amefariki dunia leo Jumamosi, Agosti 15, 2020.


Fatma alijipatia umaarufu mkubwa kupitia kwenye kipindi cha masuala ya kijamii alichokuwa akikiendesha cha #Kwetu  kilichokuwa kinaruka kupitia Wasafi TV.

Mkurugenzi wa Wasafi Media, Diamond Platnumz amethibitusha taarifa ya kifo hicho kupitia Instagram page yake ambapo ameposti picha na maneno akisema;

“Rest in Paradise Fatma…. Daima tutakukumbuka kwa mema yako mengi ulotutendea… kwaniaba ya WASAFI MEDIA tunatoa pole kwa Familia, Ndugu na jamaa wote walioguswa na msiba huu wa dada etu Fatma Abdallah ama @kungwi_mkatashombo …..🙏🏼

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger