8/13/2020

‘Wameniroga Nisipate Mtoto Mwingine’ Akothee Ajutia Kuwaambia Watu ndoto zake


 Mwanamuziki  Akothee amesema alitaka kupata mtoto mwaka huu lakini  watu wamemroga ili asiweze kupata mtoto mwingine .


Amesema kwamba mdomo wake wa kusema  mipango yake kwa watu ndio sababu iliyomfanya kurogwa. Akothe alikuwa akijibu posti ya mtangzaji wa Runinga Lilian Muli  katika instagram  aliyekuwa akiwashauri wafuasi wake kuweka siri maisha yao ya kibinafsi na azma  zao.

‘Alikasirika’ Esma Platnumz afichua mbona babake Diamond hakuhudhuria harusi yake
 “ ilinde na  uitnze .waache wakibashiri ,shughuli zako sio  za kila mtu’ Lillian aliandika

Miezi michache iliyopita, Akothee alionyesha nia  ya kutaka kupata mimba ya mtoto mwingine lakini sio lazima baba mtoto awepo maishani mwake. Alisema hilo lilikuwa tu kwa lengo la kupata mtoto na  hakutaka uhusiano wa kudumu. Aliandika;

 “I will also have a baby and I don’t want commitment with anyone, I am not ready to settle down, I am still very young, but number six is a must. We the independent women, also have choices (follow me at your own risk). I am looking for baby daddy number six; we won’t date, just a baby, period. No strings attached.”
‘Sitaki kufichwa fichwa kama ARV’s, nataka kuolewa.’ Akothee
Sasa anajutia mbona aliwaambia watu  kwa sababu ameshindwa kupata mimba.
 “ Kama sasa nilitaka kupata mtoto mwaka huu wa 2020 na nikawaambia sasa wameniroga na siwezi kumuona mwanamme anayeweza kuwa baba ya mtoto huyo’.
   Lilian  alijibu kwa kumuambia Akothe amuombe mungu na kunyamazia ndoto zake
 “  Nimeshi na kujifunza kufunga mdomo wangu’
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger