8/07/2020

Wema Sepetu: Mimi ndiye mwanzilishi wa neno akee 'Piga kelele kwa Dar es Salaam akee'Wema Sepetu amesema yeye ndiye Mwanzilishi wa neno 'Akeee' Mfa. (Piga keleee kwa Dar es Salaam Akeeee) anasema hana Mpango wa kusajili hilo nen

"Nisajili ili iweje? Liache liende, kuhusu TID kusajili neno 'Ni Yeyee', unajua kila mtu ana upeo wake wa kufikiria, maoni yake naona ni sawa sio wote tunaweza kupenda wali maharage, kwahiyo yeye anafikiria kusajili ni sawa" Wema Sepetu

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger