9/25/2020

Ali Kiba "Hakuna Zaidi Yangu King uwa ni mmoja tu"

 


Nyota wa muziki nchini, Alalikiba, amefunguka mara baada ya kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'Mediocre' ikiwa ni miezi mitatu tangu alipoachia 'So Hot'.

Akizungumza Alhamisi hii kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Kiba amesema idea ya wimbo huo ilikuja katika mizuka ya studio, ilipigwa 'beat' na yeye akaona ngoja ajaribu kurap.


“Kila kitu nilichoimba kwenye mediocre kina make sense, Kila mtu amejibrand na watu wamempokea vile walivyompokea, Sio kila mtu anaweza kuwa King, na wakati huu kumekuwa na mambo mengi ambayo to me, naona they are so Mediocre,” amesema.


“King huwa ni mmoja tu, na hakuna wa kuchukua nafasi yake mpaka afe, kila kitu nilichoimba kwenye mediocre kina make sense, Kila Mtu amejibrand na Watu wamempokea vile walivyompokea, sio kila Mtu anaweza kuwa King”- aliongeza Alikiba.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger