9/26/2020

Baada ya Diamond kusema anampenda Mimi Mars mdogo wake na Vanessa Mdee, Leo waonekana wakiogelea pamoja nyumabni kwa Diamond (+Video)

 


Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11 wameonekana wakiogelea wote nyumbani kwa @diamondplatnumz pamoja na @hanstonee01Stori hii imekuwa kubwa kutokana na kauli aliyoitoa @diamondplatnumz kuwa ANAMPENDA SANA MIMI MARS ILA TIMING SIJUI ANAKOSEAGA WAPI

@mimi_mvrs11 kuonekana kwa @diamondplatnumz huenda tukasiki chochote kwani @diamondplatnumz hakuomba Collabo kwa @mimi_mvrs11 bali alisema anampenda. Kwa maoni yako unahisi kitu gani kinaendelea kati ya @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger