Fahamu mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi duniani kwa mwaka 2020, ikiwemo Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Jarida la kimataifa la ‘Firepower’ ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo.


Kwa China, wataalam wanasema, gwaride hilo lilikuwa na dhamira ya kuonyesha nguvu zake dhidi ya Marekani


Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi.


Nafasi ya kwanza katika orodha huwa haibadiliki kila mwaka . Ingawa baadhi ya nchi huwa zna uwezo tofauti kila mwaka.Yafahamu mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi dunia


Jeshi la Marekani likifanya mazoezi na Georgia

Mataifa manne ambayo hayajabadilika katika nafasi zake kwa miaka ya hivi karibuni ni pamoja na :1- Marekani


2- Urusi


3- China


4 India


Uturuki ikiwa imeshukaWanajeshi wa Uturuki

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka huu uanze, Uturuki imekuwa ikishuka katika orodha ya mataifa kumi bora yenye majeshi yenye nguvu.Lakini Misri imeweza kufikia kumi bora, na kuiweka miongoni mwa taifa lenye jeshi bora zaidi duniani.


Barani Afrika, taifa la Misri ndilo linaloongoza huku likiwa katika nafsi ya tisa ulimwenguni


Mataifa mengine ni:

5- Japan


6- Korea Kusini


7- Ufaransa


8- Uingereza


9- Misri


10- Brazil


Kwa miaka miwili iliyopita, Uturuki ilikuwa inachukua nafasi ya tisa wakati miaka mingine ya nyuma taifa hilo lilikuwa nafasi ya nane, lakini mwaka huu imekuwa ya 11.


Ushawishi wa SaudiaKaribu mataifa yote 25 ya mwanzo hayajafanya mabadiliko makubwa .

Karibu mataifa yote 25 ya mwanzo hayajafanya mabadiliko makubwa .

Baadhi yameshuka viwango kidogo wakati mengine yakiwa hayana ongezeko lolote .


Lakini miongoni mwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mwaka huu ni Saudi Arabia kuwa miongoni mwa orodha ya juu zaidi kwa mara ya kwanza.


Himaya hiyo inayoongozwa na mfalme Salman bin Abdulaziz imefika namba 17 huku Israel ikiwa namba 18 katika orodha ya mataifa yenye nguvu zaidi duniani.


Mwaka 2016, Saudi Arabia ilikuwa namba 24 huku Israel ikiwa inashika namba 16 katika orodha.


Mwaka uliofuata, 2017, Saudi Arabia ilibaki kuwa nafasi ya namba 24th huku Israel ikiwa nafasi ya 15.


Mwaka 2018, Saudi Arabia ilitoka katika orodha ya 25 bora lakini Israel ilishika nafasi ya 16.Mwaka jana 2019, Saudi Arabia ilijitahidi mpaka ikachukua nafasi ya 25 wakati Israel ikiwa nafasi ya 17.


Mwaka jana 2019, Saudi Arabia ilijitahidi mpaka ikachukua nafasi ya 25 wakati Israel ikiwa nafasi ya 17.

Mataifa bora 25 katika orodha ni pamoja na :

11- Uturuki


12- Italia


13-Ujerumani


14-Iran


15- Pakistan


16- Indonesia


17- Saudi Arabia


18-Israel


19- Australia


20- Hispania


21- Poland


22- Vietnam


23- Thailand


24- Canada


25. Korea Kaskazini


Tanzania tuko wa 109


Kufahamu zaidi hadi ya 138 ikiwemo Kenya na Uganda bofya HAPA 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad