9/26/2020

Jiwe kubwa la madini aina ya Snipel lapatikana MorogoroWaziri wa Madini Tanzania Dotto Biteko ametangaza good news ya kupatikana kwa jiwe jingine kubwa la Madini aina ya Spinel ambapo limepatikana kupitia kwa Wachimbaji wa madini wa Mahenge.

Biteko ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter “Hongereni sana Wachimbaji Mahenge, hili jiwe kubwa la Spinel limepatikana tena, JPM alisema ni wakati wenu, Asanteni sana kwa kuchapa kazi.. JPM2020 #KaziIendelee”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger