9/16/2020

JPM Amvulia Kofia Alikiba Na Kumvalisha Kama Diamond
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.


Magufuli amefanya hayo leo Jutano, Septemba16, 2020, wakati Alikiba alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Viwanja Vya Gymkhana Bukoba mjini.


 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger