9/05/2020

Kimenuka..Nigeria Yalipa Kisasi Kwa Nchi Zilizozuia Ndege zakeNigeria imepiga marufuku Mashirika ya Ndege kutoka nchi kadhaa kuingia nchini humo kuanzia Septemba 5

Nigeria imeweka wazi kuwa hatua hiyo ni kisasi kwa nchi ambazo zimezuia Mashirika ya Ndege ya Nigeria kuingia katika Nchi zao

Mashirika ya Ndege yaliyozuiwa ni pamoja na Air France, KLM kutoka Uholanzi, Lufthansa kutoka Ujerumani na Etihad Airways ya Falme za Kiarabu

Abiria wa Nchi hizo wataruhusiwa kuingia Nigeria kwa masharti makali

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger