RAIS MAGUFULI amempigia simu LIVE, Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick Aron Nipilima Mfugale na kumtaka kuanza kuijenga Barabara ya Sengerema – Nyehunge kwa kiwango cha lami kabla ya Desemba mwaka huu.
VIDEO:
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments