Mr Blue apata mtoto wa tatu na mkewe Waheeda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ni updates kutoka kwa rapa Khery Sameer Rajab maarufu kama Mr Blue ambaye kupitia post yake aliyoiweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram amehabarisha kuwa amepata mtoto mwingine na mkewe Waheeda.

"Ahsante mke wangu Mrs Blue Beauty Cosmetics kwa zawadi nyingine alhamdulillah, ahsante sana Mungu kwa kheri zako, karibu sana binti yangu Khairat kwenye familia alhamdulillah, Mungu ni mwema sana" ameandika Mr Blue

Huyo atakuwa mtoto wa tatu kwa msanii huyo na mkewe kwani hapo awali walikuwa na watoto wawili ambao mmoja wakiume mwingine ni mtoto wa kike

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad