9/16/2020

Mtwara: Baba, Mtoto Wafariki AjaliniWATU watano wakiwemo baba na mtoto, wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, baada ya kugongana uso kwa uso katika Kijiji cha Msanga Kata ya Mtesa wilaya Newala mkoani Mtwara.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Mark Njera, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana majira ya saa sita mchana. Miili ya marehemu imehifadhiwa katika hospitali ya Wilaya ya Newala na majeruhi pia wamelazwa katika hospitali hiyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger