9/14/2020

Mwigizaji JB Afanikiwa Kupunguza Uzito Kwa Kilo 15


Msanii wa Filamu nchini, Jacob Steven maarufu JB ameeleza kuanza mpango wake kupunguza unene.
Kupitia ujumbe wake kwenye ukurasa wake wa Instagram, JB ameeleza kuwa tayari amefanikiwa kupunguza uzito kwa Kilo 15.

“Ndugu zangu nimefanikiwa kupungua kilo 15, lakini director wangu anataka nipungue kilo 20 zaidi kwa ajili ya msimu mpya wa Single Mama Series . Mnasemaje japo natamani kuwa na SIX packs na mimi, tuingie kwenye vyuma ama tuishie hapa???” ameandika #JB.

Ikumbukwe, kwenye moja ya mahojiano yake JB alikiri kwamba kuna wakati unene wake humtesa na hivyo hutamani apungue kwani humsumbua katika Mavazi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger