.

7/12/2021

Ushauri: Nina Naumbile Madogo (Kibamia), Naogopa Kuwa na Msichana

Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.

Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani.

Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini.

Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote daaaah.! inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na waschana Wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.

Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..! Nawaza nitafanya vipi mapenzi na msichana ikiwa mimi nina Maumbile Madogo saana nilipo upima kwa rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi kitu kweli daaah..

Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi napata na ni ipi coz naona ninakoelekea sio kabisa.

Naombeni msaada naombeni
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

7 comments:

 1. Bwana ni ww tuu na kujiamini, wengine zetu ni chini ya hapo na tunaishi maisha ya ndoa kama mtu mwingine yoyote, yaani yangu ikiwa imelala hata haionekani, sometimes unasahahu kama ipo. Kuwa jasiri na ukimpata mtu mweleze in advance ajue cha kutegemea

  ReplyDelete
 2. pole sana ni kweli umbile mungu anatoa ila dawa zipo lakini kila kitamu kwa mdomo sio kizuri kwa mwili.

  ReplyDelete
 3. Ukunjuekunjue sometimes na mafuta ya malhaam utannyooka tuu halafu mjaribu nao mtu utaniambia mwenyewe

  ReplyDelete
 4. Wewe unasikiliza sana tv na magazeti Allah ameumba watu kwa maumbile tofauti urefu,ufupi,rangi,wembamba,unene na n.k fanya ibada wako wanawake wenye maumbile kama yako wanakusubiri kumbuka wanawake wanazaliwa na bikira wanaipoteza kwa kutokuwa wastamilivu, wacha kufuata mambo ya social media

  ReplyDelete
 5. Kujiamini ndio mpango mzima, hilo lisikutishe

  ReplyDelete
 6. Jiamn bro yot yanawezekana coz n wengma kama well

  ReplyDelete
 7. 0718391173 HILO TATIZO DOGO SANA. NAOMBA UWASILIANE NA DADA HUYU MWENYE NAMBA HIYO HAPO JUU YEYE NI MTAALAMU WA HII KITU. AMEWASAIDIA WENGI WENYE TATIZO KUBWA KULIKO LAKO. ANAITWA MISH BABY/MISH MAPENZI.

  ReplyDelete

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger