10/24/2020

ACT-Wazalendo Waandika Barua Kwa Msajili Kuhusu Kukoma Kikatiba Kwa Uanachama wa Zitto Kabwe na Maalim Seif

 


Wanachama wa ACT-Wazalendo, Crytus Adrian Kabete na Nasma Ramadhan Assedy wamemuandikia barua Msajili wa Vyama kuhusu Zitto Kabwe na Maalim Seif kukosa sifa za kuwa wanaACT-Wazalendo

Wanachama hao wa ACT-Wazalendo wamesema Maalim Seif na Zitto wamekosa sifa ya kuwa wanachama kwa kuwa Katiba yao Ibara ya 13 (4) ambayo inasema Mwanachama atapoteza sifa akiunga mkono chama kingine


Wamesema maamuzi ya ushirikiano na Vyama vingine vya Siasa kwa mujibu wa Katiba ya ACT-Wazalendo ni lazima ufanywe na Mkutano Mkuu wa Taifa na chombo hicho hakiwezi kukasimisha madaraka hayo kwa chombo kingine


Wameandika kuwa, katika mambo ambayo Zitto na Maalim wamefanya hakukuwa na Mkutano Mkuu wa Taifa uliofanyika

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger