Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Benpaul na Arnelisa Kulikoni? Tumemisi Show Off Zenu

 


Rumor has it , kuwa yale mahusiano yaliyokua na tashtiti mjini, kati ya mwanamuziki benpaul na mrembo kutoka kenya , Annerlisa ambaye katokea kwenye familia ya kitajiri , inasemekana mahusiano hayo hayapo tena na sasa hivi imebaki story tu .


Chanzo cha ubuyu kinadai wawil Hao walimwagana mda mrefu tu ila hawakutaka wanazengo wajue kitu kwa kuogopa vichambo kwenye mitandao.


Siku za hiv karibun benpaul amekua kimya sana tofauti na awali walipokua kwenye mahusiano, ambapo alikua akiishi maisha expensive sana pamoja na trip nyingi za US, Dubai , China na nchi nyinginezo ambapo sasa hiv imebaki tu historia

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments