10/29/2020

Breaking News: Zitto Kabwe apoteza Ubunge Jimbo la Kigoma MjiniMsimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini amemtangaza Kirumbe Ng'enda wa CCM kuwa mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 27,638 akifuatiwa na Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo aliyepata kura 20,600.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

 1. Chamani flashini.
  Rudisheni vitabu vya kusafiria vyekundu
  wote mlio poteza nafsi za uheshimiwa.

  Watanzania tumeamua.

  M.V AMANI imesha anza na iko tiyari kukurudisha kwenu itapendeza ukuturudishia jiwe letu la kungara na
  mchoto wa Kigamboni.

  Uvuvi wa Dagaa na Maweseni poa tu.

  Kwa taarifa yako mkopo wa Elimu Tanzania tulipewa. Pole na Safari.

  Uongozi wa Tanzania ni wa Watanzania.

  Wahamiaji na Wacheleweshaji ni bora kama mpo muwe ni Washangiliaji.

  ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger