Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kilichotokea Shinyanga baada ya msafara wa CHADEMA na CCM kukutana

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Watu watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kufanya fujo, kujeruhi na kusabababisha uharibifu wa mali, wakati msafara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na chama cha Mapinduzi (CCM) walipokutana njiani wakitoka kwenye mikutano ya kampeni.


Vurugu hizo zilitokea wakati msafara wa mgombea ubunge wa CCM Patrobas Katambi na mgombea ubunge wa CHADEMA Salome Makamba kukutana eneo la Japanise Corner nakuibua fujo ikiwemo kuharibu magari.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Debora Magiligimba amewataja wanaoshikiliwa kuwa ni Ramadhan mohammed(20), Yuda Kanoku(22), Frank Chiza(20), Timoth Amos(20) na Mussa Luhende(21) wote wakiwa wakazi wa Mkoa wa Shinyanga.


Pia Kamanda huyo amesema kuwa katika vurugu hizo Hasani Masanja(28) mkazi wa Mtaa wa Majengo alijeruhiwa na kitu chenye ncha kali kidevuni huku gari ya matangazo ya mgombea ubunge CCM lilivunjwa vioo vyote na magari mengine mawili yaliharibiwa pamoja.


MAGUFULI AMFUNGUKIA SUMAYE KWAO “WANATUKANA KILA MTU”RELATED ITEMSTZA HABARISHARETWEETSHARESHARECOMMENTS← PREVIOUS STORYKauli ya Hussein Mwinyi akifunga kampeni ZanzibarNEXT STORY →Kiongozi wa Al-Qaeda auawa AfghanistanSOMA NA HIZIKiongozi wa Al-Qaeda auawa AfghanistanKauli ya Hussein Mwinyi akifunga kampeni ZanzibarKauli ya Maalim Seif akifunga kampeni ZanzibarTUPIA COMMENTS


Post a Comment

0 Comments