10/07/2020

Kituo Kinachofuata ni Dar es Salaam Ijumaa Hii Mgombea wa Urais CCM Kukiwasha


Kituo Kinachofuata ni Dar es Salaam. Ni Ijumaa Oktoba 09, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataendelea na Mikutano yake ya Kampeni za Kunadi Ilani ya CCM, Sera na Kuomba Kura Mkoani Dar es Salaam. Dar es Salaam Baba Mwenye nyumba amefika. Unamkosaje Sasa?. #T2020JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger