Leo Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataunguruma Mkoani Manyara


Tukiwa na siku 3 kuelekea Jambo letu, kazi ya Kuendelea na kukutana na Wananchi wa Kila sehemu kueleza Sera na Ilani bora ya CCM inaendelea na leo Oktoba 25, 2020 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ataunguruma Mkoani Manyara. Watanzania tuna Jambo Letu haswa.


#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya TUJUZANE
    Android ===> GooglePlay LINK HII HAPA===>>
    http://bit.ly/2XfAN9I

    ReplyDelete