10/17/2020

Polisi akamatwa kwa kumshambulia mmoja wa waandamanaji NigeriaMaafisa katika mji wa kibiashara nchini Nigeria ambao wamewakamata polisi waliowashambulia waandamanaji wanaoendelea kuandamana dhidi ya ukatili wa polisi.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa polisi walifyatua risasi katika kundi la waandamanaji katika eneo la Surulere mjini humo.


Gavana wa jimbo la Lagos, Babajide Sanwo-Olu, aliwataja majina polisi hao wanne ambao amesema wanakabiliwa na kesi ya nidhamu:


What was my crime again? I was protesting against police brutality and I got brutalised for it . #EndSARS #EndSWAT #EndPoliceBrutalityinNigeria pic.twitter.com/AboZeuzx8mHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger