10/15/2020

Polisi 'Tunamshikilia MTU mmoja Kati ya 17 Waliovamia Studio ya S2Kizzy Usiku


Polisi Kanda Maalum DSM wanamshikilia Mtu mmoja kati ya 17 waliovamia Studio ya @s2kizzy kwa kujifanya Polisi jamii na ulinzi shirikishi usiku wa October 14, 2020 ambapo waliwakamata Wasani na kuwapeleka Polisi kituo cha kijitonyama na kuwafungulia kesi za uongo.


"Nimeagiza Wasanii hao waliokamatwa waachiwe huru mara moja na hilo Genge  la wahuni lisakwe, hao sio Polisi Jamii, hakuna Polisi Jamii wanaoweza kufanya kazi peke yao bila Baraka za Viongozi wa Serikali, nimeagiza wahusika wote 17 wakamatwe, Kiongozi wao tunae na msako unaendelea"- MAMBOSASA   
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger