Serikali ya Kenya yaagiza watoto wa kike wote hata wenye mimba kurudi shule

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Serikali imewaamuru Makamishna wote wa Kaunti kuanza uchunguzi juu ya wanafunzi walioshindwa kuripoti shuleni na sababu zilizopelekea hilo, na kuchukua hatua za kuwarudisha

Katibu Tawala wa Elimu, Zack Kinuthia amesema Makamishna licha ya kuwa Wenyeviti wa Kamati za Usalama za Kaunti lakini pia, wao ni kama jicho la Rais hivyo wanafaa zaidi kutekeleza jukumu hilo hata katika Shule binafsi


Amesema "Ni Sera ya Serikali kwamba ujauzito sio ugonjwa ambapo imetokea tumethubutu kusema sio kosa kuwa mjamzito, kosa ni jinsi ujauzito huo ulivyopatikana. Hatutavumilia ubaguzi na unyanyapaa kwa Wasichana wetu ambao wanatarajia kuwa Mama”


Amesema Wanafunzi wote wanaotakiwa kufanya mitihani yao ya Kitaifa watafanya hivyo bila kujali kama ni kinamama au Wajawazito.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad