Simba yachezea kichapo Sumbawanga
Klabu ya Simba yaishikwa pabaya na Tanzania Prison Kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0.  

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

1 [disqus]:

  1. Kuteleza sikuanguka bado mazuri yanakuja wana simba msife moyo kwa kupoteza mechi moja. wengi tulijua matokeo yatakuwa hayo hasa baada ya refa kutunyima hakiyetu kwa makusudi kwa kutumia mwanya wa advantage wakati mchezaji alishaanguka na asingeufikia mpira hata ingekuwaje

    ReplyDelete