AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), itavaana na Tunisia Novemba 13, 2020, kwenye mechi ya kufuzu AFCON, kundi “J” na kisha kurudiana Novemba 17, 2020.
Mchezo wa kwanza Taifa Stars itakipiga ugenini nchini Tunisia, na wa marudiano utapigwa Tanzania.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK