10/14/2020

Tetesi na Dalili za Rayvanny Kutaka Kuikimbia WCB Wasafi Zaanza Kuonekana Tena...

 


FAHAMU: Kwenye picha hii kuna watu watatu ambao tayari Diamondplatnumz kawapoteza wa kwanza Zarithebosslady wapili Harmonize_tz na wa mwisho ni *Rayvanny

Taarifa za Chini chini inasemekana Vanboy yupo kwenye kufanya malipo ya mwisho mwisho ili ahame kwenye Lebo hiyo peaceful kabisa.

Na ndio maana ukifatilia sasa hivi Kaacha kusupport kazi za Wcb Wasafi.

Mfano Wimbo mpya wa Mbosso HAIJAKAA SAWA hajaupost licha ya kuwa na ushikaji wa karibu na Mbosso.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger