AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Thomas Ulimwengu anayekipiga TP Mazembe ya Congo, amewasili mchana wa leo tayari kuungana na wenzake wa kikosi cha Taifa Stars akiwemo Mbwana Samatta aliyefika mapema leo.
Taifa Stars na Burundi, zitapepetana Jumapili ya Oktoba 11, 2020, kwenye dimba la Benjamin Mkapa.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK