Ticker

6/recent/ticker-posts
.

VIDEO: Waziri Mkuu Mstaafu amvaa Sheikh Ponda

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREWaziri Mkuu Mstaafu John Malecela akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma amejitokeza kuuasa Umma wa Kitanzania kutokana na kauli zilizotolewa na Sheikh Issa Ponda Jijini Dodoma mwishini mwa wiki iliyopita katika majukwaa ya kisiasa wakati wa kumnadi Mgombea wa Urais wa Chama cha Chadema Tundu Lisu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

0 Comments