Waliochoma moto bweni la shule wakamatwa, DC wa Hai Ole Sabaya athibitisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Vyombo vya Dola wilayani Hai vimefanyikiwa kukamatwa kwa watu watatu kwa tuhuma za kuchoma moto bweni la kulia chakula la wanafunzi wa Madrasa lililopo ndani ya Msikiti wilayani Humo mkoani Kilimanjaro.


Bweni hilo liliungua kwa moto siku mbili zilizopita Ikiwa ni tukio la pili baada ya mabweni ya wanafunzi wa kike katika shule ya Kaloleni Islamic iliyopo Wilayani Moshi kuungua siku tatu zilizopita.


Mkuu wa wilaya ya Hai, @lengai_ole_sabaya na kamati ya usalama wilaya hiyo ilifika eneo la tukio na kuvitaka vyombo vya dola kuweka nukta katika matukio hayo yanayoonekana ya kuratibiwa na kupangwa na kwamba katika wilaya hiyo litakua tukio la kwanza na la mwisho.


 


View this post on Instagram


——————————————————————————————————————————Vyombo vya Dola wilayani Hai vimefanyikiwa kukamatwa kwa watu watatu kwa tuhuma za kuchoma moto bweni la kulia chakula la wanafunzi wa Madrasa lililopo ndani ya Msikiti wilayani Humo mkoani Kilimanjaro. Bweni hilo liliungua kwa moto siku mbili zilizopita Ikiwa ni tukio la pili baada ya mabweni ya wanafunzi wa kike katika shule ya Kaloleni Islamic iliyopo Wilayani Moshi kuungua siku tatu zilizopita. Mkuu wa wilaya ya Hai, @lengai_ole_sabaya na kamati ya usalama wilaya hiyo ilifika eneo la tukio na kuvitaka vyombo vya dola kuweka nukta katika matukio hayo yanayoonekana ya kuratibiwa na kupangwa na kwamba katika wilaya hiyo litakua tukio la kwanza na la mwisho. 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad