11/16/2020

Barack Obama amekanusha uwezekano wa kukubali nafasi ya kuteuliwa kwenye Baraza la Mawaziri litakaloundwa na Joe Biden


Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amekanusha uwezekano wa kukubali nafasi ya kuteuliwa kwenye Baraza la Mawaziri litakaloundwa na Joe Biden ambaye wiki mbili zilizopita alitangazwa kama Rais Mteule wa Marekani.


Kwenye mahojiano na mtangazaji Gayle King wa CBS Sunday Morning, Obama alisema "Biden haitaji ushauri wangu, na nitamsaidia kwa namna yoyote nitakayoweza. Obama alijibu swali la Gayle lilihoji Kuna nafasi yoyote kwenye Baraza la Mawaziri?


Aliendelea kujibu "Sasa, sina mpango wa kufanya kazi Ikulu ya White House au chochote. Kuna vitu siwezi kufanya kwa sababu Michelle anaweza kuniacha." alimaliza kwa utani.

2h

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger