11/12/2020

Bilionea Ginimbi Kuzikwa na Gunia la Fedha

BILIONEA wa Zimbabwe, Genius Kadungure maarufu Ginimbi, atazikwa na gunia lililojaa fedha, kama alivyoagiza kwa wanachama wa ‘all-white funeral’.

Ginimbi alifariki kwa ajali ya gari Jumapili, jijini Harare akiwa na mrembo Mitchelle Amuli anayefahamika kama ‘Moana’.

Familia ya Moana imeahirisha mazishi kwa wiki mbili ikisubiri majibu ya DNA na kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya kumuaga.

Ginimbi na Maona kwa pamoja walikuwa wanatoka kwenye sherere ya “all-white” ambapo gari yao iligongana na gari nyingine iliyokuwa inakuja mbele yao na kufariki papohapo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

1 comment:

  1. Itabidi, Baunsa alietia nae mkataba, Azikwe nae kuendelea na Ulinzi kwa ajili kuwa uwezekano mkubwa watu wakalichoea mchongo hasa waliokosa Ruzuku

    ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger