Kauli ya Mbowe wakati anatangaza kuwavulia uanachama wabunge walioenda kuapa DodomaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema wanachama wa CHADEMA walioenda Dodoma kuapa Novemba 24 kama Wabunge wa Viti Maalum wamevuliwa nyadhifa zao zote ndani ya chama hicho.


Pamoja na kuvuliwa nyadhifa zao uanachama wao unakoma tangu leo. Amesema hayo ndiyo yaliyoazimiwa na Kamati Kuu ambayo iliwaita kuongea nao ila hakutokea.

Mbowe anasema viongozi hao walikuwa wanasema wanahofia usalama wao kwenda Makao Makuu na waliamua kwenda katika eneo salama ili wazungumze nao lakini Wabunge hao hawakwenda.

“Kama vyama vya siasa tunakwazwa sana kuona Dada zetu, Viongozi wenzetu, mama zetu na wengi wao walikuwa wagombea wa ubunge walionyang’anywa ushindi mchana kweupe wanakwenda kuapa kwa Spika Ndugai”

Amesema,”Wanaapa wakati Majimboni kwao wameacha Wanachama wetu, Wapiga kura wao wanasota kwenye Magereza. Nchi nzima leo tuna kesi zaidi ya 450 za Wanachama wetu ambao wameshtakiwa kwa makosa ya kihuni ya ajabu”


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

8 Comments

 1. Haekaeli, ufitinishaji wako hauna Tija
  kama MAANDAMANO YAKO GAIDI WEWE.

  KINA MAMA WANAKA KIKAO CHAO, HAWA NDIO WALIOJENGA CHAMA KWA TAARIFA YAKO.

  ATIMA YAKO ITAJULIKANA BAADAE, KAMA ITAKUWA CHADEMA WAZALENDO NA CHDEMA ASILI. STAY TUNED

  ReplyDelete
 2. HUU NIWAKATI MUAFAKA WA KUMBADILISHA MBOWE UENYEKITI - AME OVERSTAY KWA MUDA MREFU CHAMA CHETU SI MALI BINAFSI

  Mbowe na Genge lako. Wacha Muendelezo wako wa Vitisho na Udhalilishaji wa Kina Mama Wabunge wetu.

  Baada ya Kusikiliza Tamko lako ambalo wahudhuriaji na wewe mwenyewe kuwa MATEKA (Hostagized)
  Wa baadhi ya watu/mtu Fulani katika mlolongo wa Maigizo yenu ya Kila Mara. Hii imekuwa kubwa Zaidi baada ya kuvuka Mipaka tuliyo izowea katika Ngonjera zenu zilizo kosa Viwango.

  Kilichotokea ni kwamba, Hotuba ya Maamuzi imejaa UJINAI / UHAMASISHAJI / UDHALILILSHAJI/ VITISHO/ UHADAIFU / UCHONGANISHAJI / UFITINISHAJI NA UZANDIKI ULIO KITHIRI VIWANGO.

  Waheshimiwa Wabunge Wateule wa Viti Maalum wote 19 akiwemo Aida ni Wabunge Halali wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano na Wataendelea Kuwakilisha Umma kama kilivyo Kiapo Chao. 2020-2025.

  Wamekidhi Matakwa yote ya Kisheria na Vigezo Ambatanishi vya Sheria hizo. Na walipo kula Kiapo ni wanachama hai wa chama cha Siasa kilicho wapendekeza, Sasa ikiwa kama kuna mkato ule mlioutaka hamkuafikiana, Hili ni suala lilikuwa liwe na la Mapatano ndani kuwa nani atapatiwa Ulaji na Kiasi gani?

  Uamuzi wenu ni Batili, Ukizingatia Mazingira na Hali Halisi iliyo pelekea kutoa Tamko Uliolitoa, ambalo
  Linadhihirisha na kwa Mujibu wa baadhi ya Wajumbe haya ni tamko la yule Jamaa wa kule nje.

  Ni Uongo Ulio ujenga ili likitokea la kutokea baada ya Mikakati yenu Kama itafana ( I doubt )
  Kwamba ulijibiwa Tunaogopa kuja Hii ina Criminal Intentions behind it. WHAT ARE YOU COOKING?

  Sasa Onyo kwako na Genge lako including Boni Jako na wenzenu. Wabunge wetu wakiwemo Waheshimiwa kina Halima/Ester’s/ Salome na wenzi wao. Unywele wao ama Kikucha Chao kitadondoka
  Kwa hali yeyote ya purukushani mnazo /mlizo zipanga Jua WILL HOLD YOU ACCOUNTABLE baada
  Ya hotuba yako inayosema tume amua kuingia Hasara na kubadilisha sehemu ya kikao kwa Ajili ya Usalama wao ( UKIMAANISHA NINI0? Tutafungua RB juu ya kitisho hiki kwa Cmdr Muroto kutishia Usalama wa Wabunge kwa Lugha za Uhamasishaji na Mpango kazi mtarajiwa. Na Cmdr Muroto tumuombe ulinzi stahiki Kwa Hawa Wabunge wetu Majasiri 20.

  Isitoshe, Jumuiko la Genge hili kujadili waliowateua Limekosa Vigezo na Uhalali wa Kufikia walichofikia hata kabla ya Mwito ukiangalia the NATURE OF CIRCUMSTANCE.

  KWA HIYO, UBABAISHAJI WENU NA GENGE LENU LA WAHALIFU AMBAO MLIJARIBU KUWATAFUTA MATEJA NA WANA MASHADA. Npende kuwambia kwamba Its illegitimate in its entirety. Hence Kina mama wataendelea Kuwatumikia Watanzania katika Muhula wao wa Uwakilishi .
  Umejaribu katika Mlolongo wa Kufeli kwenu, Kuingiza Suala la Vifo Zanzibar na Nafasi ya Makamu wa pili wa Raisi wa Zanzibar. Haya ya Vidonda na Uhamasishaji Yanakuhusu nini wewe Mchochezi..!!
  Pigana na Hali yako na Mshtuko ulioupata kwa Sashisha na Si Kiherehere katika kila Jambo si Unakumbuka mlivyo taka Kumuondoa Duniani yule Wa chama Lafiki alivyo kuwa Chamani? Rekodi yako mbaya already na ukiendelea kumsikiliza yule wan je atakupeleka Kombo.

  Waheshimiwa Wabunge Kina Mama, Wala Msitishike na Hili la Kupita. Chakufanya Fungueni RB juu ya Hivi vitisho na Msibughuthike na Usanii wa hili Genge la Wachache. Walio kaa na Uchu Uchu Uchu na Wivu Wivu uliopita HULKA ZA KIBINADAMU. CHAPENI KAZI WATUMIKIENI WATANZANIA. MKO VIZURI
  TAMKO LA MBOWE HALIKUBALIKI, NA WABUNGE WETU WATEULE WALIO KIJENGA CHAMA KUNA HISIA
  NA TETESI KWAMBA WAMEAZIMIA KUKAA KIKAO CHAO NA TAASISI ZILIZO CHINI YAO KULIJADILI HILI
  SUALA LA MAPINDUZI WITHIN CHAMANI. NA KUNA TETESI KWAMBA MOBWE /MINYIKA NA WENGINE
  WATASIMAMISHWA KABLA YA HATIMA YAO KUTANGAZWA NA BARAZA LA MPITO CHADEMA AMBALO LINAANDALIWA . NGOMA TAMU HIYOOO…. WASANII NA WAPISHI CHUNGU KIMOJA.

  KINA MAMA OYEEE….. HATISHWI MTU WALA KUONEWA… WALIOKIMBIA WALIJUA MAPEMA.

  ReplyDelete
  Replies
  1. HAWA NI GENGE LA WABABAISHAJI.
   KWA WAHESHIMIWA WABUNGE WATEULE WAMEGONGA MWAMBA WANATAFUTA PA KUTOKEA.

   KINA MAMA WAMEJIPANGA VILIVYO.. CHEZEA HALIMA NA BULAYA
   TIMU INATOSHA KABISA. PIGA KELELE KWA MATIKO/ MAKAMBA

   MTOWE , JIFUNZE SIASA NA SIYO UPELEKESHWE NA VIGURU.

   Delete
 3. HUU NIWAKATI MUAFAKA WA KUMBADILISHA MBOWE UENYEKITI - AME OVERSTAY KWA MUDA MREFU CHAMA CHETU SI MALI BINAFSI

  Mbowe na Genge lako. Wacha Muendelezo wako wa Vitisho na Udhalilishaji wa Kina Mama Wabunge wetu. RB ifunguliwe kwa Tishio la Usalama wa Wabunge wetu wa Bunge la Jamuhuri kwa matamko yaliojiri wakati wa kuzungumza na vyombo vya Habari.

  Baada ya Kusikiliza Tamko lako ambalo wahudhuriaji na wewe mwenyewe kuwa MATEKA ndani ya kikao (Hostagized)
  Wa baadhi ya watu/mtu Fulani katika mlolongo wa Maigizo yenu ya Kila Mara. Hii imekuwa kubwa Zaidi baada ya kuvuka Mipaka tuliyo izowea katika Ngonjera zenu zilizo kosa Viwango.

  Kilichotokea ni kwamba, Hotuba ya Maamuzi imejaa UJINAI / UHAMASISHAJI / UDHALILILSHAJI/ VITISHO/ UHADAIFU / UCHONGANISHAJI / UFITINISHAJI NA UZANDIKI ULIO KITHIRI VIWANGO.

  Waheshimiwa Wabunge Wateule wa Viti Maalum wote 19 akiwemo Aida ni Wabunge Halali wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano na Wataendelea Kuwakilisha Umma kama kilivyo Kiapo Chao. 2020-2025.

  ReplyDelete
 4. Uko sawa sawa , Hivyo tatizo ni Wewe na Minyika au Minyika na wewe?
  Kama ni Uhuni .. Muongozaji wake alikuwa Muhuni mkubwa ambae sijui niseme vipi ili unielewe. Na sasa Muhuni mkubwa akishirikiana na Genge lake kama kawaida yake Udhalilishaji/ Udulumaji/ Ufitinishaji/ Kula vya Dezo/ Tamaa / Uchu na Wivu
  vinaanza kumtokea chini ya macho.


  ReplyDelete
 5. Waacheni kina Mama Wazalendo mahiri waendelee kulichapia Kazi taifa letu.

  Waheshimiwa Wabunge Viti maalum wala msiyumbishwe na hawa Wababaishaji wenye Roho za Korosho mko vizuri na kisheria katika kutumikia Kiapo chenu mpaka 2025 bunge lijalo.

  Fungueni RB kwa Ujumla wenu hapo Jijini Doddoma na Nakala nchi nzima na washukiwa na wapangaji waanze kufatiliwa.

  ReplyDelete
 6. Kuwa na Heshima muhuni wewe, Ulisema kitawaka..haya yote ni Ajili hakikuwaka

  ReplyDelete
 7. Faru Joni,kwani Ruzuku si Riziki Mantashaa!!
  Mama Dokita, Deo Gazetini sasa cha kufanya!!, lini unaenda osta bei tena.?

  Au utastaafu ziaza.

  Unakumbuka Yanga Raizon n Yanga Kanda2

  Ndio tunapo Elekea. Muulize Tino na kina Manara .

  ReplyDelete