Mchezaji Anele afariki kwa ajali ya gari

 

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, KRC Genk na Mamelodi Sundowns Anele Ngcongca ,33, amefariki dunia leo kwa ajali ya gari nchini Afrika Kusini.

Taarifa zinaeleza kuwa Anele amepata ajali akiwa katika BMW ambayo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye yupo mahututi.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments