Polepole: Nitoe rai kwa vyama vingine vya siasa, tuthamini na kuheshimu mchango wa Wanawake, wao ndiyo wapiga kura wakubwa nchi“Tunathamini na kuheshimu mchango wa Wanawake wote Tanzania, nitoe Rai kwa Vyama l vya siasa hapa Tanzania kufahamu tunapokwenda kwenye Uchaguzi washindi huwa Watanzania lakini nafasi muhimu ya Wanawake inapaswa kupewa heshima kubwa kwa sababu ya mchango mkubwa wameufanya ikiwemo wao kuwa ndiyo wapiga Kura wakubwa katika nchi yetu ya Tanzania” – Humphrey Polepole, Katibu wa NEC.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments