11/06/2020

Rais Magufuli amteua Prof. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa SerikaliRais wa Jamhuri ya Muungano Dk. John Magufuli amemteua Prof. Adelardius Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali .


Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imesema uteuzi wa Prof. Kilangi unaanza  tarehe 05,Novemba,2020. Prof. Kilangi ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada yakipindi cha kwanza kumalizika jana tarehe tano novemba 2020.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger