11/18/2020

Tekashi 69 ameachia Documentary ya maisha yake

 


Rapa machachari asiyeishiwa vituko kila leo, Daniel Hernandez maarufu Tekashi69 (24), ameachia Documentary ya maisha yake na imeanza kuoneshwa jana kupitia mtandao wa Hulu.

Documentary hiyo yenye jumla ya dakika 102 iliyopewa jina la "69: The Saga of Danny Hernandez" inazungumzia maisha yake tangu kuanza kuchomoza kwenye umaarufu.


Pia vitendo vyake ya utukutu, mikasa ya kwenye muziki, kuwasaliti genge lake la Nine Trey Gangsta Bloods kwenye kesi yake ya mwaka jana vimehusishwa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger