Balaa la Diamond Sudan Kusini usipime, kiingilio tu utakimbia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameendelea kudhihirisha ubora wake nje ya mipaka ya Bongo baada ya kupiga shoo ya watu maalum usiku wa Krismasi huko, Juba, Sudan Kusini.


Diamond ambaye alikuwa na shoo mbili nchini humo, amefanikiwa kujaza onesho lake la kwanza la watu maalum licha ya kiingilio kuwa kikubwa kilicholipwa kwa dola za Marekani.

Taarifa zinadai katika onesho hilo la watu maalum, kiingilio kwa watu VVIP kilikiwa ni dola za Marekani 1,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni mbili za kibongo, VIP walilipa dola 300 sawa na laki sita viingilio vya kawaida ilikuwa ni dola 100 ambazo ni zaidi ya shilingi laki mbili huku akitarajia kupiga shoo nyingine usiku wa Boxing Day.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad