Chanzo Cha Kifo Cha James Bond Aliyefariki Akiwa Usingizini Chafahamika

Chanzo Cha Kifo Cha James Bond Aliyefariki Akiwa Usingizini Chafahamika

Oktoba 31 mwaka huu ulimwengu wa filamu ulimpoteza gwiji wa filamu za James Bond, Sean Connery (90) ambaye alifariki akiwa usingizini nyumbani kwake.

Sababu za kifo chake hatimaye zimetajwa, kwa mujibu wa TMZ ambao wamechungulia cheti cha kifo, wameeleza kuwa Sean Connery alifariki kwa ugonjwa Nimonia ambao ulisababisha kufeli kwa mfumo wa upumuaji. Moyo kushindwa kufanya kazi pia magonjwa ya Uzee.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments