Mondi Msaidie Baba’ako
Miongoni mwa stori zilizo-trend wiki hii ni pamoja na picha inayomuonyesha baba mzazi wa msanii wa muziki nchini Nasibu Abdul ‘Diamond’ Abdul Juma ‘Mzee Abdul’ akipanda daladala kitu ambacho kimeacha maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki.

 

“ Jamani ona huyu baba anavyopata shida angali mwanaye Diamond ni tajiri mkubwa, hapa anatakiwa amnunulie baba yake gari hata ikiwa ndogo kwa sababu hana hadhi yakupanda daladala,” aliandika shabiki mmoja mtandaoni.


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments