Sakata la Ben Pol Kupaka Rangi Kwenye Kucha Young Lunya Afunguka Haya


 Jibu La Msanii @younglunya Kuhusu Msanii @iambenpol Kupaka Rangi Kucha

@jonijooo : “Hivi Kwako Uliipokeaje Kuona Ben Pol Amepaka Rangi Kucha Zake?”

@younglunya : “Ni sawa unajua Ben Pol Ni Msanii Kwahiyo Kwa Sasa Maisha Yake Ni Sanaa, Kuna Wanaume Wengi Wanapaka Rangi Ila Hawasemwi Kwa Sababu Hawajulikani, Muacheni Ben Pol Apake Rangi”


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments