Simba Yamsimamisha Jonas Mkude, Kisa Hiki Hapa!Klabu ya Simba SC imetangaza kumsimamisha mchezaji wake Jonas Mkude kutokana na kukabiliwa na tuhuma za utovu wa nidhamu ili kupisha uchunguzi na kusikilizwa kwa tuhuma hizo mbele ya kamati ya nidhamu.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments