1/28/2021

Agness Amkana Uchebe Kweupe!
MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman kwa mara ya kwanza amefunguka madai ya kuhusishwa kimapenzi na aliyewahi kuwa mume wa msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Ashraf Uchebe  kuwa ilikuwa ni kiki.


Agness aliyasema hayo hivi karibuni wakati akihojiwa na moja ya chombo cha habari nchini, kuwa Uchebe alimtafuta na kumuomba wafanye kiki hiyo ili kumuumiza roho zilipendwa wake Shilole.“Uchebe aliniomba sana, aliwahi kunipigia simu zaidi ya mara mbili akaniambia anataka afanye kitu ili amuumize ex wife wake (Shilole) kwa sababu hata yeye alimuumiza sana.


Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE“Nilikataa kwa sababu niliona sio kitu kizuri lakini baada ya kuniomba sana ndio nikakubali kufanya ile kiki, ila kiukweli sijawahi ku-date (kuwa na uhusiano wa kimapenzi) na Uchebe kabisa na wala sio taipu yangu na niwaambie tu Watanzania kwamba hiki kitu hakipo tena,” alisema Agness.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger