AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Jeshi la Polisi nchini limewafukuza kazi kwa askari wake wanne kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu ,rushwa na wizi.
Akiongea na vyombo vya habari Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha ,Salumu Hamduni amesema kuwa Askari hao wamefukuzwa kazi Januari 6,2021.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK