AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baraza la Wawakilishi la Marekani limeanza kujadili tena uwezekano wa kumfungulia mashtaka Trump ili kumuondoa madarakani wakimshutumu kwa kuchochea umati kuvamia na kuharibu jengo la Bunge la Marekani - Congress, huku likifanya ghasia iliyopelekea watu watano kufariki.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK