Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ben Pol aongea yote kuhusu kubadili dini
Kupitia Friday Night Live msanii Ben Pol  ameweka wazi kuhusu zile picha zilizosambaa zikimwonesha amebadili dini kutoka kuwa Mkristo na kuwa Muislamu.


Ben Pol amesema kuwa suala la dini analiacha kwa wale tu ambao watakutana naye kwenye nyumba ya kuabudi ili lisije likachanganya mashabiki zake.'Unajua wakati naanza muziki nilikuwa huru na mtu wa kila mtu ndio maana nataka iendelee kuwa hivyo masuala yangu binafasi kama dini sitaki sana kuyaongelea na hata picha zilivyotoka nikasema sitafafanua lolote ila tu kuna watu nitakutana nao kwenye nyumba ya kuabudu'', amesema.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments